
Afya
Huduma za afya, zahanati na uchunguzi wa maabara zinazotolewa kwa utu, usahihi na kufuata taratibu husika.
Jifunze Zaidi →Biashara zetu
Kila kitengo kina ukurasa wake maalumu chini ya shekemu.co, huku mawasiliano, ubora na utambulisho wa SHEKEMU vikibaki pamoja.

Huduma za afya, zahanati na uchunguzi wa maabara zinazotolewa kwa utu, usahihi na kufuata taratibu husika.
Jifunze Zaidi →
Vifaa vya shule, ofisi na taasisi vinavyopatikana kwa oda ndogo au usambazaji wa kitaasisi.
Jifunze Zaidi →
Uchapishaji wa vitabu, fomu, rejesta na nyaraka za biashara kwa mwonekano wa kitaalamu.
Jifunze Zaidi →
Eneo la kimkakati la usafirishaji, logistics na usambazaji linaloendelezwa kwa awamu.
Jifunze Zaidi →
Mafunzo ya udereva wa kitaalamu na programu za usalama barabarani zinazoandaliwa kwa kufuata vibali husika.
Jifunze Zaidi →
Mipango ya ukusanyaji taka, usafi wa mazingira na mifumo ya kidijitali ya kusimamia huduma.
Jifunze Zaidi →
Miradi na huduma za kilimo zinazolenga maarifa, tija na ukuaji endelevu.
Jifunze Zaidi →
Eneo la biashara ya mifugo litakaloendelezwa baada ya upembuzi, tathmini ya hatari na vibali.
Jifunze Zaidi →
Website, mifumo, networking, vifaa, usalama wa kidijitali na ushauri wa teknolojia.
Jifunze Zaidi →
Business plans, proposals, company profiles, tender documents na ushauri wa utekelezaji.
Jifunze Zaidi →
Miradi ya viwanja, nyumba na mali isiyohamishika itakayotangazwa baada ya uhakiki na vibali.
Jifunze Zaidi →
Vitabu, miongozo na nyenzo za elimu zinazotayarishwa kwa matumizi ya vitendo.
Jifunze Zaidi →