01Afya
Afya na Huduma za Jamii
Miradi na shughuli zinazohusisha zahanati, maabara na huduma za afya kwa kuzingatia taratibu na vibali husika.
Tazama / Ulizia mradi →Eneo la miradi
Eneo hili linaonyesha sekta tunazozifanyia kazi na fursa tunazokuza. Picha, maeneo na ushuhuda wa miradi halisi huongezwa baada ya kuthibitishwa na kupata ruhusa.
01Afya
Miradi na shughuli zinazohusisha zahanati, maabara na huduma za afya kwa kuzingatia taratibu na vibali husika.
Tazama / Ulizia mradi →
02Kilimo
Uendelezaji wa uzalishaji wa mazao na mifugo kwa lengo la kujenga thamani, ajira na fursa za biashara.
Tazama / Ulizia mradi →
03Teknolojia
Mifumo, websites, networking na suluhisho za kidijitali kwa watu binafsi, biashara na taasisi.
Tazama / Ulizia mradi →
04Machapisho
Graphics design, utayarishaji wa nyaraka, printing na publishing kwa mahitaji ya biashara na jamii.
Tazama / Ulizia mradi →
05Usafirishaji
Uratibu wa mizigo, vitabu, bidhaa na vifaa kulingana na mahitaji ya mteja na idhini husika.
Tazama / Ulizia mradi →Mfumo wa utekelezaji
Kila mradi hupangwa kulingana na sekta, eneo, rasilimali, taratibu na matokeo yanayotarajiwa.
Tunakusanya taarifa za mteja, jamii au fursa ya mradi.
Tunabainisha hatua, mahitaji, gharama na masharti ya sekta husika.
Tunafuatilia kazi na kutoa taarifa muhimu hadi hatua iliyokubaliwa ikamilike.
Hatudai mradi ambao haujathibitishwa. Taarifa za mteja, picha na matokeo huonyeshwa tu baada ya ruhusa inayofaa.