Matumizi ya tovuti
Masharti ya Matumizi
Toleo la kabla ya uzinduzi: Masharti haya yanahitaji idhini ya mwisho ya menejimenti kabla ya public launch.
Maombi ya huduma
Uwasilishaji wa fomu au ujumbe wa WhatsApp ni ombi la mawasiliano, si mkataba wa mwisho. Upatikanaji, muda, eneo, gharama na masharti ya kazi huthibitishwa na SHEKEMU kwa maandishi.
Vitabu na malipo
Bei huonyeshwa kwa Shilingi za Tanzania. Oda huthibitishwa baada ya malipo kuhakikiwa kwa Mixx by Yas Lipa Namba 18897837, jina Shekemu. Gharama za hardcopy na usafirishaji hutegemea bidhaa na anwani; tunatuma kokote duniani kwa utaratibu unaothibitishwa.
E-book na hakimiliki
E-book inayolipiwa ni kwa matumizi ya mnunuzi aliyeidhinishwa. Hairuhusiwi kunakili, kuuza tena, kusambaza au kupakia kwa umma bila ruhusa ya mwenye hakimiliki.
Usahihi na mabadiliko
Tunajitahidi kuweka taarifa sahihi. Huduma, bei, ratiba na maudhui zinaweza kubadilika baada ya tangazo rasmi; oda au makubaliano yaliyothibitishwa yatafuata masharti yaliyotolewa wakati wa uthibitisho.
Mawasiliano
Kwa swali kuhusu oda au masharti haya, wasiliana kupitia info@shekemu.co, +255 714 147 181 au WhatsApp +255 714 147 181.
