Sifa za jumla
- Awe na elimu na taaluma inayotambulika kwa nafasi anayoomba.
- Kwa nafasi za kitaaluma, awe na usajili au leseni halali kutoka mamlaka husika inapohitajika.
- Awe mwaminifu, mwenye nidhamu na maadili mazuri ya kazi.
- Awe na uwezo wa kufanya kazi kwa timu na kuwajibika.
- Uzoefu wa kazi utakuwa faida ya ziada.
