Yaliyomo
NDANI YA KITABU
- Utangulizi wa elimu na nidhamu ya fedha
- Sheria ya 1 hadi Sheria ya 12
- Muhtasari na hatua za utekelezaji
Kitabu cha SHEKEMU
Misingi ya kujenga nidhamu na mwelekeo wa fedha
Kitabu cha elimu ya fedha kinachowasilisha sheria 12 kwa mfumo unaolenga maarifa, nidhamu na maamuzi bora ya kifedha.
Yaliyomo
Mwandishi
Ana Advanced Diploma in Clinical Medicine kutoka TTCIH Ifakara (2019) na Diploma in Clinical Medicine kutoka Kibaha COTC (2013). Ana uzoefu katika tiba, uongozi wa vituo vya afya, uratibu wa TB/HIV, usimamizi na business development. Mafunzo yake yanajumuisha AI, WHO Emergency Care, PPRA/Public Procurement, Leadership, Professional Driving Training na JKU National Service.